Exodus 12:50-51

50Waisraeli wote walifanya kama vile Bwana alivyomwagiza Mose na Aroni. 51 aSiku ile ile Bwana akawatoa Waisraeli katika nchi ya Misri kwa vikosi vyao.

Copyright information for SwhNEN